Kama unapenda kufanya kazi kwenye Bandari za Tanzania unapaswa kufahamu ni aina gani ya nafai za kazi au ajira unazoweza kupata bandarini. Zipo aina nyingi za kazi zinazopatikana bandarini na hapa Mtandaowazi imekuwekea aina ya kazi unazoweza kuomba pindi zinapotangazwa kutoka kwenye bandari za Tanzania:
- Ubaharia
- Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
- Ulinzi
- Ukaguzi
- Fedha
- Mawasiliano ya Kampuni
- Usimamizi wa kodi
- Umeme
- Ujenzi
- Wakaguzi wa Meli
- Ufundi Mitambo
- Moto na Usalama
- Haidrografiki
- Utabibu
- Rasilimali watu
- Sheria
- Bima
- Masoko
- Usimamizi/Utawala wa Biashara
- Uwakala wa Forodha
List of Jobs at Tanzania Ports in English:
- Marketing and Public Relations jobs
- Freight Clearing, Forwarding and Port Management jobs
- Engineering and Maintenance Management jobs
- Logistics and Transport Management jobs
- Shipping and Port Management jobs
- Fire Safety officer jobs
- Port Health Management jobs
- Security jobs
- Accountant jobs
- IT jobs
- Cleaning jobs
- Portal Crane Operator
- Winch Operator
- Fork lift Truck Operators
Pia unaweza kutafuta na kujifunza zaidi kuhusu Ajira bandarini jamii forum, Ajira bandarini salary, Ajira portal, Ajira bandarini tpa, Nafasi za kazi TPA, Ajira bandarini age, Nafasi za kazi bandarini Zanzibar, Mshahara wa bandarini.