Ajira Portal – OFFICE MANAGEMENT SECRETARY GRADE II

Nafasi za Kazi Halmashauri – Ajira.go.tz.

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Chemba kupitia tovuti ya Ajira Portal – the official online recruitment system for the Government of Tanzania, inayosimamiwa na Sekretarieti ya ajira katika utumishi wa umma anatangaza nafasi (04) za kazi ya MWANDISHI MWENDESHA OFISI DARAJA LA II (OFFICE MANAGEMENT SECRETARY GRADE II).

SIFA ZA MWOMBAJI: Kuajiriwa Wahitimu wa Kidato cha Nne (Form Four) au Kidato cha Sita (Form Six) wenye Stashahada (NTA Level 6) ya Uhazili (Secretarial Studies). Aidha, wawe wamefaulu somo la Hatimkato ya Kiswahili na Kiingereza maneno 80 (80.w.p.m) kwa dakika moja na kupata mafunzo ya programu za kompyuta za ofisi kama vile: Word, Excel, Powepoint, Internet, E-mail na Publisher kutoka chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali..

SOMA HAPA | Majukumu na kazi, ngazi ya mshahara na tarehe ya mwisho kutuma maombi.

Leave a comment