Wizara ya Afya imetoa nafasi mpya 37 za kazi kwa Wauguzi Daraja la II
Wizara ya Afya Tanzania kupitia Ajira Portal imetangaza nafasi mpya 37 za kazi kwa Wauguzi Daraja la II. Kwa yeyote mwenye sifa anayehitaji fursa hii ya ajira kwenye sekta ya afya soma maelezo ya kazi hapa chini. POST: MUUGUZI DARAJA LA II – 37 POST EMPLOYER: Wizara ya Afya APPLY BEFORE: 2025-03-19 QUALIFICATION AND EXPERIENCE … Read more