Ajira Portal – OFFICE MANAGEMENT SECRETARY GRADE II

Nafasi za Kazi Halmashauri – Ajira.go.tz. Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Chemba kupitia tovuti ya Ajira Portal – the official online recruitment system for the Government of Tanzania, inayosimamiwa na Sekretarieti ya ajira katika utumishi wa umma anatangaza nafasi (04) za kazi ya MWANDISHI MWENDESHA OFISI DARAJA LA II (OFFICE MANAGEMENT SECRETARY GRADE II). … Read more

MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU DARAJA LA II – NAFASI 02 | Ajira.go.tz

Nafasi za Kazi Halmashauri – Ajira.go.tz. Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mlimba kupitia tovuti ya Sekretarieti ya ajira katika utumishi wa umma anatangaza nafasi mbili (02) za kazi ya MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU DARAJA LA II. SIFA ZA MWOMBAJI: Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha nne cha kidato cha Nne au sita ( Form IV / … Read more

MWANDISHI MWENDESHA OFISI DARAJA LA II – Nafasi 02 | Ajira.go.tz

Nafasi za Kazi Halmashauri – Ajira.go.tz. Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mlimba kupitia tovuti ya Sekretarieti ya ajira katika utumishi wa umma anatangaza nafasi mbili (02) za kazi ya Mwandishi Mwendesha Ofisi Daraja la II. Sifa za Kuajiriwa: Wahitimu wa Kidato cha Nne (Form Four) au Kidato cha Sita (Form Six) wenye Stashahada (Diploma) … Read more