Nida Online:- Mfumo wa maombi ya Kitambulisho cha Taifa Online
Hii ni huduma inayomuwezesha mwombaji wa kitambulisho cha Taifa (Raia au Mgeni mkazi) kujaza fomu ya maombi ya Kitambulisho cha Taifa kwa njia ya Kielektroniki akiwa mahali popote. Baada ya kujaza fomu hiyo, mwombaji atatakiwa kuichapisha (Print) na kuiwasilisha pamoja na vielelezo vingine katika Ofisi ya NIDA (wilaya) iliyo karibu naye kwa ajili ya kukamilisha … Read more