Orodha ya Shule 10 bora matokeo kidato cha sita 2022
Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) leo Jumanne Julai 5, 2022 limetangaza matokeo ya mitihani ya kidato cha sita na kusema ufaulu umeongezeka kwa asilimia 99.87. Hizi hapa shule 10 bora matokeo kidato cha sita 2022 Kemebos Sekondari, Kagera – Shule ya Binafsi. Kisimiri Sekondari Arusha – Shule ya Serikali. Tabora Boys Sekondari Tabora -Shule ya … Read more