JOB DETAILS
POST: TABIBU WA MENO DARAJA LA II (DENTAL THERAPIST II) – 49 POST
EMPLOYER: Wizara ya Afya
APPLICATION TIMELINE: 2025-03-06 2025-03-19
QUALIFICATION AND EXPERIENCE
Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha nne/sita wenye Stashahada Utabibu Meno ya muda wa miaka mitatu kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali.