Wizara Ya Afya na elimu, Namna ya kuwasilisha maombi ya ajira
Maelekezo.
- Tafadhali chagua aina ya maombi ya ajira kama ni AFYA au ELIMU
- Kama ni muombaji mpya bofya kiunganishi cha juu kulia “Jisajili” kuanza kuomba
- Ingiza namba ya NIDA au barua pepe kama jina la mtumiaji na uingize nywila yako kuingia ndani ya mfumo.
- Baada ya kufanikiwa kuingia ndani, tafadhali kamilisha maombi yako kabla ya tarehe ya mwisho
- Maombi yasiyokamilika hayatafanyiwa kazi
- Hakikisha kabla ya kutuma maombi umesoma na kuelewa vizuri tangazo lilotolewa
- Hakikisha vyeti ulivyo ambatanisha vinasomeka vizuri
- Kuwasilisha taarifa za kughushi zitapelekea kuchukuliwa hatua za kisheria dhidi yako
- Bofya hapa ili ujisajili kwa ajili ya kutuma maombi
- Kwa Msaada Tafadhali piga simu huduma kwa mteja : 026-2160210 au 0735-160210