Namna ya kuonana na Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa wa Dodoma

Unaweza kuonana na Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa wa Dodoma kwa kupitia hatua zifuatazo:

1. Kuomba miadi kwa njia ya Simu au Barua

2. Unaweza kufika Moja kwa Moja Ofisi ya Mkuu wa Mkoa kwa ajili ya kuonanan na Mkuu wa Mkoa.

3. Pia kwa wale wenye shida mbalimbali wanaweza kuziwasilisha kwa njia ya simu, Barua au kufika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dodoma na kupatiwa huduma inayostahiki.

READ MORE: