Bandari College ndio chuo kinachotoa mafunzo/kozi za kukuweesha kupata kazi kwenye bandari za hapa Tanzania.
Zifuatazo ndio aina ya kozi zinazotolewa na chuo cha Bandari:
Basic Technician Certificate Programme (Duration: 1 Year)
• Basic Technician Certificate in Shipping and Ports Management – BTCSPM
• Basic Technician Certificate in Freight Clearing Forward and Port Management – BTCFCFPM
• Basic Technician Certificate in Engineering Maintenance Management – BTCEMM
• Basic Technician Certificate in Logistic and Transport Management – BTCLTM
• Basic Technician Certificate in Marking and Public Relation – BTCMPR
• Basic Technician Certificate in Fire and Safety Management – BTCFSM
Ordinary Diploma Programme (Duration: 2 Year)
• Ordinary Diploma in Shipping and Ports Management – DSPM
• Ordinary Diploma in Freight Clearing Forward and Port Management – DFCFPM
• Ordinary Diploma in Engineering Maintenance Management – DEMM
• Ordinary Diploma in Logistic and Transport Management – DLTM
• Ordinary Diploma in Marking and Public Relation – DMPR
• Ordinary Diploma in Fire and Safety Management – DFSM
Ili kufahmu zaidi kuhusu kila kozi tajwa hapo juu inachukua muda gani na vigezo vya kuweza kusoma tembelea tovuti ya chuo: https://www.bandari.ac.tz.
Pia unaweza kutafuta na kujifunza zaidi kuhusu Ajira bandarini jamii forum, Ajira bandarini salary, Ajira portal, Ajira bandarini tpa, Nafasi za kazi TPA, Ajira bandarini age, Nafasi za kazi bandarini Zanzibar, Mshahara wa bandarini