Halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa inahitaji kuajiri Msaidizi Maendeleo ya jamii daraja la II. Kwa Mtanzania yeyote anayehitaji kuomba nafasi hii ya kazi anatakiwa kuwa na sifa ya kuajiriwa mwenye Astashahada (Certificate) ya Maendeleo ya Jamii kutoka Vyuo vya Maendeleo ya Jamii au Vyuo vingine vinavyotambuliwa na Serikali katika mojawapo wa fani zifuatazo: Maendeleo ya Jamii (Community Development),Sayansi ya Jamii (Sociology, Masomo ya Maendeleo (Development Studies),Mipango na Usimamizi wa Miradi (Project Planning and Management),Jinsia na Maendeleo (Gender and Development),Rural Development, Au fani nyingine zinazofanana na Maendeleo ya Jamii.
KUHUSU NAFASI HII YA KAZI:
POST: MSAIDIZI MAENDELEO YA JAMII DARAJA LA II – 6 POST
EMPLOYER: Halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa
APPLICATION TIMELINE: 2025-03-24 2025-04-05