Nafasi za Kazi Halmashauri – Ajira.go.tz.
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mlimba kupitia tovuti ya Sekretarieti ya ajira katika utumishi wa umma anatangaza nafasi mbili (02) za kazi ya MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU DARAJA LA II.
SIFA ZA MWOMBAJI: Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha nne cha kidato cha Nne au sita ( Form IV / VI) mwenye Stashahada au NTA Level 6 ya Utunzaji wa Kumbukumbu kutoka chuo kinachotambuliwa na Serikali, mwenye ujuzi wa Kompyuta.
SOMA HAPA | Majukumu na kazi, ngazi ya mshahara na tarehe ya mwisho kutuma maombi.