MWANDISHI MWENDESHA OFISI DARAJA LA II – Nafasi 1 ya kazi

Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi inahitaji kuajiri MWANDISHI MWENDESHA OFISI DARAJA LA II mwenye sifa zifuatazo; Wahitimu wa Kidato cha Nne (Form Four) au Kidato cha Sita (Form Six) wenye Stashahada (Diploma) ya Uhazili au cheti cha NTA level 6 ya Uhazili. Aidha, wawe amefaulu somo la Hatimkato ya Kiswahili na Kiingereza maeneo 100 kwa dakika moja na kupata programu za kompyuta za ofisi kama vile: Word, Excel, Powepoint, Internet, E-mail na Publisher kutoka chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali.

KUHUSU NAFASI HII YA KAZI:

POST: MWANDISHI MWENDESHA OFISI DARAJA LA II – 1 POST
EMPLOYER: Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi
APPLICATION TIMELINE: 2025-03-24 2025-04-06

DUTIES AND RESPONSIBILITIES
i. Kuchapa barua, taarifa na nyaraka za kawadia na za siri;

ii. Kupokea wageni na kuwasili shida zao na kuwaeleza wanapoweza kusaidiwa;

iii. Kutunza taarifa za kumbukumbu ya matukio, miadi, tarehe za vikao, safari za Mkuu wake na ratiba za kazi zingine;

iv. Kutafuta majalada na nyaraka zinazohitajika katika utekelezaji wa majukumu ya kazi;

v. Kupokea majalada na kusambaza kwa Maofisa waliokatika Idara/Kitengo/Sehemu husika;

vi. Kukusanya, kutunza na kuyerejesha majalada na nyaraka sehemu zinazohusika;

vii.Kupanga dondoo na kufanya maandalizi ya vikao mablimbali;

viii. Kuandaa orodha ya mahitaji ya vifaa vya ofisi; na

ix. Kufanya kazi zingine atakazopangiwa na Mkuu wake wa kazi.

REMUNERATION: TGS.C

CLICK HERE TO APPLY

Jobs in Tanzania 2025 are posted here on Mtandaowazi daily. Find and learn more about Nafasi za kazi Halmashauri Mbalimbali Tanzania, mishahara mipya ya Halmashauri, aina ya ajira zinazotolewa mara kwa mara na Halmashauri za Tanzania, sifa za kupata kazi Halmashauri Mbalimbali Tanzania, tovuti za ajira za Halmashauri Tanzania,

READ MORE: