Nafasi 1 ya kazi Wizara ya Afya – DAKTARI BINGWA DARAJA II (UROLOGIST II)

POST DETAILS
POST: DAKTARI BINGWA DARAJA II (UROLOGIST II) – 1 POST
EMPLOYER: Wizara ya Afya
APPLICATION TIMELINE: 2025-03-06 2025-03-19

QUALIFICATION AND EXPERIENCE
Kuajiriwa wenye shahada ya uzamili ya Udaktari Bingwa katika fani ya Urology (M.Med au PhD kwenye fani ya Udaktari) ya miaka mitatu au zaidi kutoka vyuo vikuu vinavyotambuliwa na Serikali. Wawe wamesajiliwa na Baraza la Madaktari Tanganyika (Medical Council of Tanganyika).

READ MORE AND APPLY HERE.

READ MORE: