Orodha ya Shule 10 bora matokeo kidato cha sita 2022

Orodha ya Shule 10 bora matokeo kidato cha sita 2022


Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) leo Jumanne Julai 5, 2022 limetangaza matokeo ya mitihani ya kidato cha sita na kusema ufaulu umeongezeka kwa asilimia 99.87.


Hizi hapa shule 10 bora matokeo kidato cha sita 2022

  1. Kemebos Sekondari, Kagera – Shule ya Binafsi.
  2. Kisimiri Sekondari Arusha – Shule ya Serikali.
  3. Tabora Boys Sekondari Tabora -Shule ya Serikali.
  4. Tabora Girls Tabora – Shule ya Serikali
  5. Ahmes Sekondari Pwani – Shule ya Binafsi
  6. Dareda Sekondari Manyara – Shule ya Serikali
  7. Nyaishozi Sekondari, Kagera – Shule ya Binafsi
  8. Mzumbe Sekondari Morogoro, Shule ya Serikali
  9. Mkindi, Tanga – Shule ya Serikali
  10. Ziba, Tabora – Shule ya Serikali


Kuona matokeo yote kidato cha sita 2022 click kwenye link ya Necta hapo chini;



READ MORE: