JOB DETAILS
POST: MTEKNOLOJIA WA RADIOGRAFA DARAJA II-RADIOLOJIA (RADIOGRAPHY TECHNOLOGIST II – RADIOLOGY) – 7 POST
EMPLOYER: Wizara ya Afya
APPLICATION TIMELINE: 2025-03-06 2025-03-19
QUALIFICATION AND EXPERIENCE
Kuajiriwa wenye Stashahada katika fani ya teknolojia ya Radiolojia kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali, ambao wamesajiliwa na Baraza la Waatalum wa Mionzi Tanzania.