Taarifa mpya 03-03-2025 – TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA

SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA – TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI.

Imetolewa tarehe 03-03-2025 na Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi zinazohusu Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS), Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali (GCLA), Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori (TAWA), Shirika la Uvuvi (TAFICO) kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 11-03-2025 hadi 28-03-2025 hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.

SOMA TAARIFA KAMILI HAPA.

READ MORE: