MWANDISHI MWENDESHA OFISI DARAJA LA II – Nafasi 1 ya kazi

Ajira Portal Job Listings – Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi inahitaji kuajiri MWANDISHI MWENDESHA OFISI DARAJA LA II mwenye sifa zifuatazo; Wahitimu wa Kidato cha Nne (Form Four) au Kidato cha Sita (Form Six) wenye Stashahada (Diploma) ya Uhazili au cheti cha NTA level 6 ya Uhazili. Aidha, wawe amefaulu somo la Hatimkato ya Kiswahili na … Read more

MSAIDIZI MAENDELEO YA JAMII DARAJA LA II – Nafasi 6 za Kazi

Halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa inahitaji kuajiri Msaidizi Maendeleo ya jamii daraja la II. Kwa Mtanzania yeyote anayehitaji kuomba nafasi hii ya kazi anatakiwa kuwa na sifa ya kuajiriwa mwenye Astashahada (Certificate) ya Maendeleo ya Jamii kutoka Vyuo vya Maendeleo ya Jamii au Vyuo vingine vinavyotambuliwa na Serikali katika mojawapo wa fani zifuatazo: Maendeleo ya … Read more

Nafasi mpya ya kazi na ngazi ya mshahara wa DEREVA DARAJA II Halmashauri ya Wilaya Ileje

Dereva daraja la pili anahitajika Halmashauri ya Wilaya Ileje, sipo nafasi 10. Ngazi ya mshahara kwa nafasi hii mpya ya kazi ni TGS B. Kama unazo sifa na unahitaji nafasi hii ya kazi tembelea: https://portal.ajira.go.tz ili kusoma maelezo kamili ya ajira hii. Kufuatilia nafasi za kazi za Halmashauri zinazotangazwa kila siku Tanzania tembelea; https://portal.ajira.go.tz https://www.ajira.go.tz