JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.
OFISI YA RAIS SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA.
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI.
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya and MDAs & LGAs anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi 1086 kama ilivyoainishwa katika tangazo hili.
SOMA HAPA NAFASI ZOTE 1086 ZA KAZI MDAs & LGAs. Mwisho wa kutuma maombi ya kazi ni tarehe 27 Februari, 2026.