Nafasi za kazi Jeshi la Polisi 2025 | TPF JOBS | Tovuti rasmi ya ajira za Polisi.
TANZANIA POLICE FORCE-RECRUITMENT PORTAL ndio tovuti rasmi ya ajira za Jeshi la Polisi nchini Tanzania ambako unaweza kupata matangazo ya nafasi mpya za kazi zinazotolewa na jeshi la Polisi.
Kupitia tovuti hii unaweza kutafuta kazi ya Polisi kulingana na; kiwango cha elimu, kitengo cha kazi, jina la kazi. Ngazi ya elimu unayoweza kuajiriwa na Jeshi la Polisi ni kuanzia; kidato cha nne, kidato cha sita, cheti, diploma, digrii na kuendelea (STASHAHADA, DIPLOMA, CHETI, CSEE, ACSEE).
Vitengo vya Kazi
Unaweza kuajiriwa na Jeshi la polisi na kufanya kazi kwenye mojawapo ya vitengo vifuatavyo kulingana na taaluma yako uliyosomea kama ifuatavyo;
HEALTH
IT AND TELECOMMUNICATION
CYBER AND NETWORK SECURITY
AIRCRAFT
MUSIC
ANIMAL HEALTH
FORENSIC
JOURNALISM AND MASS COMMUNICATION
ADMINISTRATION
ARTS & SPORTS
LINGUISTICS
RELIGIOUS
POLITICAL STUDIES
ECONOMICS
MARINE
LAWS
RECORD MANAGEMENT
TRANSPORTATION
ENGINEERING
LAND MANAGEMENT
INDUSTRIAL ENGINEERING
EDUCATION
FOOD AND HOTEL
DRIVING
Kuangalia nafasi mpya za kazi zinazotangazwa na Jeshi la Polisi kila siku kulingana na vitengo vya kazi vilivyotajwa hapo juu tembelea tovuti rasmi ya ajira za Polisi kupitia www.polisi.go.tz ajira
Pia unaweza kusoma: Fursa za ajira zinazotolewa na Jeshi la Polisi kulingana na elimu