Wizara ya Afya imetoa nafasi mpya 37 za kazi kwa Wauguzi Daraja la II

Wizara ya Afya Tanzania kupitia Ajira Portal imetangaza nafasi mpya 37 za kazi kwa Wauguzi Daraja la II. Kwa yeyote mwenye sifa anayehitaji fursa hii ya ajira kwenye sekta ya afya soma maelezo ya kazi hapa chini.

POST: MUUGUZI DARAJA LA II – 37 POST
EMPLOYER: Wizara ya Afya
APPLY BEFORE: 2025-03-19

QUALIFICATION AND EXPERIENCE
Kuajiriwa wenye cheti cha Uuguzi cha miaka miwili kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali na kuandikishwa (Enrolled) na Baraza la Wauguzi na Wakunga Tanzania.

READ MORE AND APPLY HERE

READ MORE: